102 KISWAHIILI Karatasi Mseto JULAI, 2019 MUDA: Saa2½
SHULE YA UPILI YA MARANDA
KIDATO CHA PILI- 2019 MWISHO WA MUHULA WA PILI
Maagizo
SEHEMU A: LUGHA
- MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40)
a) Eleza sifa mbili bainifu za kitamkwa /a/ (alama 2)
b) Tenganisha silabi katika neno (alama 1)
c) Tambua aina za vitenzi katika sentensi ifuatayo: Mvulana aliyekuwa akiadhibiwa jana ni mkorofi sana
(alama 3)
d) (i) Eleza maana ya shadda(alama 2)
(ii). Weka shadda katika neno mlima. (alama 1)
e) Akifisha: (alama 4)
basi rafiki yangu akasema maimuna hivyo ndivyo tunavyoweza kufaulu katika maisha wewe waonaje
f) Tambua aina za maneno katika sentensi;
Mwalimu wetu amewasili leo (alama 2)
Recent Comments